KANUNI ZA KUTUNZA
UJANA WAKO;
Ujana kama lulu ambayo inathamani kubwa sana katika
dunia ya sasa hivyo inahitajika sana kutunzwa ili iweze kuendelea kuwa bora
sana na yenye manufaa katika kizazi chote. Kama inavyojulikana wazi kitu
chochote kisipotunzwa basi kunahali ya kuharibika ambayo inakaribia na
isipoangaliwa jambo baya linaweza kupelekea kutia nanga katika ujana.
Jua kama usipo jitambua na kujithamini hakuna mtu
atachukua nafasi yako na kufanya yale uliyotakiwa kujifanyia wewe binafsi.
Unaweza kutamani kuwa kijana unaye jitunza lakini
usipofuata kanuni ambazo zinazo kuwezesha kujitunza hauwezi kuwa kijana wa
maana kwa Mungu na kwa wanadamu na hatimae dunia ikafaidika kupitia wewe.
Kila namna unatamani kuwa lazima pawepo na namna ya
kukufanya wewe kuwa mtu husika mathalani ukita kuwa mwalimu mzuri kuna kanuni
za kukufanya uwe hivyo na vilevile ukitaka kuwa mwanafunzi bora lazima kuna
kanuni/namna ya kukufanya mwanafunzi bora unaweza ukatamani kuwa mtu yeyote kwa
namna ya mtazamo wako ulivyo lakini kama ujafuata kanuni zilizowekwa kamwe
hauwezi kuwa vile unatamani.
Hivyo unaweza kutamani sana lakini kama tu
hautafwata kanuni kamwe hauwezi kufika pale unafikiria hivyo
KUTAMANI BILA
KUFUATA KANUNI HAKUNA
KITU KITAKACHOFANYIKA.
Kanuni za kutunza
ujana wako katika kiwango cha Mungu;
i.kumpenda
Mungu
ii.pendo
la Mungu kuchukua nafasi ndani yako
iii.usiogope
iv.macho
ya rohoni
v.ukaribu
vi.kumtazama
Mungu
vii.kujitunza
viii.uaminifu
ix.usijiamini
x.maongezi
Prepared by ;
Nelson, Cothey – 0764 018
535 or cotheyn@yahoo.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni