HALI YA KUWA WEWE NA MUNGU KUWA YENYE NGUVU
NDANI YAKO:
Ili mahusiano yoyote yawe na nguvu yanawategemea
wahusika wenyewe wanavyo yafanya yawe na nguvu au yasiwe na nguvu. Kwa hakika
hao ndio walio beba hatma yao yakuendeleza urafiki wao au la!
Yohana
15:13-15
Daudi na
Jonathan, sauli hakuweza kuutengenisha urafiki wao.
Isamweli 18:1-4.
Katika urafiki kati yako na Mungu hiko wazi hauna tatizo
bali tatizo liko upande wetu namna inakuwa shida kutokana mambo mbalimbali
yanavyo tusonga, katika mambo hayo yako unayoshinda na mengine unashindwa.
Warumi 8:35.
-japo sio kitu kizuri kusahau makubaliano yenu kwa
kisingizio kuwa mambo mengi yanayo kukabili.
Kunamchanganuo ulio kati yako na Mungu wakuonyesha hali
mliyo nayo.
Mathayo
13:3-9
i.
zilianguka karibu na
njia
ii.
zilizoanguka kwenye miamba
iii.
zilizoanguka kwenye miiba
iv.
zilizoanguka kwenye udongo mzuri.
Hizi zote ni hatua waweza kutoka hatua moja kwenda
nyingine kama ukiamua kutoka hapo na si vinginevyo.
I.zilizoanguka karibu na njia.
-ni mtu ambaye anajikuta anafuraha pasipo sababu,
hatua hii mtu upenda sana kwenda kanisani ni hatua za awali uwa na furaha
anapoona wakristo wenzake wakati mwingine ujisahau kuona kuwa hali aliyo kuwa
nayo kuzani wote wana hali hiyohiyo.(ugeni wa ulimwengu mpya).
Hiki ni kipindi cha matazamio sio cha kudumu ntu
yeyote wakati wowote chochote cha weza fanyika, anaweza akaona nyekundu imekuwa
ya njano halafu akashindwa kuelewa.
-hii furaha muda wowote inaweza kuzimika.
Mathayo
13:19
ii. zilizoanguka wenye miamba.
-ni mtu ambaye ameanza kutambua mambo yaliyomo ndani
ya wokovu. Kuomba,kusoma neno la Mungu.(ufahamu wake kuanza kupata nuru ya
Mungu,kuanza kupa upeo)
-ni mtu ambae anayeanza kuona kuwa neno la Mungu
kuwa linaanza kuwa na nguvu ndani yake, na kuanza kuliamini neno la
Mungu.(anayeanza kupata ufahamu kuwa kuna msubiri Mungu ili nae afanye katika
maisha yake).
-ila mwisho ukosa uvumilivu endelefu.
Mathayo
13:20-21
iii. zilizoanguka kwenye miiba
-hii hatua mtu alishaanza kufaidi matuda ya ki
mungu, mtu alishaanza kuelewa na kutumika pamoja na Mungu. Hii ni hatua hatari
sana kwani ujuaje, kujilinganisha uanzia hapo.
Kuona sasa anaweza hata lile amefanya kuhubiri,
kuponya hajatambua kuwa hizi ni ishara ambazo zitaambatana na waaminio.
Hatua unaweza kujilinganisha na mtu yeyote ambaye
mwanzoni ulikuwa una mweshim lakini sasa unaona mnalingana.
Mathayo
13:22
Tatizo kubwa mtu huyu hazai matunda yaliyo na kibali
kwa Mungu.
iv. zilizoanguka kwenye udongo mzuri.
-ni mtu aliye jitoa mwanga kwa ajili ya ufalme wa
Mungu.
Ni mtu ambaye ajui maana ya msamaha, upendo,
uvumilivu, kiburi, asila, ubinafsi, kuchukuliana na mambo mengine kwakua
anayeishi sio yeye bali kristo anafanyakazi.
Ni mtu aliye na nguvu ya kusimamia jambo katika
maarifa na maongozi ya Roho mtakatifu.
-msingi mkubwa alio nao huyu ni nguvu ya kuelewa (kiwango
cha juu cha kuelewa)
Mathayo 13:23
Vitu
vya kuimarisha:
I.uwezo
wa akili yako kuyaelewa mambo ya mungu.
Hali hii upelekea kuwa na maarifa,akili njema.
Lazima uwe na tabia ya kutambua na kuelewa namna
akili yako inavyoelewa mambo ya Mungu.
II.utayari
wa kuyabeba ya Mungu
Wakati mwingine sio lazima uyaelewe mambo ya Mungu
papo kwa papo bali uyakubali kama umepata kibali kwa uhakika anayeongea ni
Mungu wala si kitu kingine.
-mariam katika kupokea ujumbe kutoka kwa malaika
Gabriel
Luka
1:26-33
-zakaria katika kuupokea ujumbe toka kwa malaika
akiwa kama kuhani.
Luka
1:8-15
III.ulinzi
wa jambo lolote kabla ujaliluhusu kuwa na nafasi ndani yako.
Vile unavyo liruhu jambo ndani ya maisha yako ndivyo
lina kutengeza wewe na kukupa sura yake. Mtu aliye na uchungu kuna kuwa na
udhihirisho katika muonekano wake.
Luka
5:43-45
Prepared
by:
Cothey Nelson - 0764
018 535 or Cotheyn@yahoo.com
James Adili Katiti – 0713 398 042 or James.adili19@gmail.com
“BARIKIWA ………SANA”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni